Msaada kuhusu NACTE

Fred lingo

Member
Joined
Mar 4, 2016
Posts
15
Reaction score
1
Habari za saa hizi wadau,

Samahani sana wadau kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie.Kuna dogo wangu amemaliza form four mwaka jana 2015 lakini kila akijaribu kufanya application NACTE kwa kozi mbalimbali inakuja sms kuwa namba yake ishatumiwa na mwombaji mwingine.

Lakini huyo dogo hajawahi kuitumia na wala kufanya maombi hapo kabla,hii ni mara yake ya kwanza.

Naomba msaada wadau, nini cha kufanya kuhusu hili tatizo?
 
Namba ukiweka inakuletea taarfa zako yaan ulipo soma sekondar. Hivyo kma c wewe utapata taarfa za mtu mwingne
 
Ila mimi natumia simu we ni beep kwa namba hii ya tigo nikupe maelekezo 0719221365
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…