Nauliza kama kuna mtu anayeelewa vizuri mazingira ya hapo au aliye hapo anijuze.
Moja, naomba kujua kuhusu location hicho chuo kipo sehemu gani hapo Dar.
Mbili, naomba kujua kuhusu gharama za maisha, kuishi hostels au kupanga gheto mtaani ipi ina afadhali kidogo. Itapendeza kama nitajua rates za hostel, na za mtaani kwa comparison.
Tatu, Kwa first year kuna uhakika wa kupata room hostel au ni kubahatisha.
Nne, kuhusu ada, ili mtu apokelewe anatakiwa aje na kiasi gani kwa kuanzia muhula wa kwanza (kwa mtu ambaye hana support ya loanboard).
ASANTENI