T the guy here i am Member Joined Nov 11, 2018 Posts 81 Reaction score 32 Feb 23, 2019 #1 Nasikia vimaumivu kwa mbaali sehemu ya moyo kwa kuchoma choma unapodunda na hata muda mwingine kwa nyuma yake karibu na bega panauma piaa..kuna muda moyounaweza ukauma wenyewe kama unachoma choma.MSAADA
Nasikia vimaumivu kwa mbaali sehemu ya moyo kwa kuchoma choma unapodunda na hata muda mwingine kwa nyuma yake karibu na bega panauma piaa..kuna muda moyounaweza ukauma wenyewe kama unachoma choma.MSAADA
Qurie JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 3,645 Reaction score 3,890 Feb 23, 2019 #2 pole..... muone doctor
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 18,117 Reaction score 28,019 Feb 23, 2019 #3 Kapime pressure fasta... Sent using Jamii Forums mobile app