Msaada kuhusu moderm

othiambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2014
Posts
2,012
Reaction score
2,821
Habari zenu wakuu,nina moderm yangu ya voda imenigomea mnara aupandi kabsa, tatizo linaweza likawa nin na nifanyaje?
 
Habari zenu wakuu,nina moderm yangu ya voda imenigomea mnara aupandi kabsa, tatizo linaweza likawa nin na nifanyaje?

Naomba niambie moderm yako ni company na model gani na kama itawezekana na ilitengenezwa mwaka gan na je ilikua inapanda siku za nyuma eneo ulilopo
 
Je eneo ulipo lina mtandao vizuri, kama mtandao haupo fanya ku unlock ili uwe na uwezo wa kutumia mitandao yote. Ku unlock ni very simple
 
Weka model ya modem yako hapa ie huawei e303s nikupe maelekezo
 
model yke ni k3772-Z,mwaka hawajaandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…