amina ngalo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 309
- 170
Mkuu unamaanisha hivyo kweli maana navyofahamu mimi hicho chuo sidhani kama kipo Domst Agustino huko Dom.
kipo bossMkuu unamaanisha hivyo kweli maana navyofahamu mimi hicho chuo sidhani kama kipo Dom
Sio St John's kweli? muulize vizuri mkuukipo boss
ndugu wanajf naombeni msaada kuna mtoto wa shemeji yangu ni yatima suala lake la mkopo halieleweki kama upo au haupo amepangwa chuo cha st Agustino huko Dom.
mpaka sasa haijulikani kama anapata mkopo au hapati yupo Dar kwasasa amefuatilia hayo mambo ya chuo
msaada ninao utaka ninamna ya kumsaidia apate mkopo .pili hivi yatima hawana kipaumbele kwenye hii mikopo ??
mwenye mawasiliano na TCU naomba