AK48
Senior Member
- Mar 22, 2015
- 149
- 38
Natanguliza shukrani za dhati..kuna mdogo wangu kapata c,c,c combination ya egm ameapply education tu.anaomba ushauri akichaguliwa akachague masomo yapi ya kufundishia mathematics and geography au mathematics and economics..kwa kuangalia umuhimu wa masomo husika hapo baadaye