Tafadhali mwenye ufahamu kuhusu nani anastahili kulipwa gratuity anijuze au tujaribu kushauriana.
Je malipo ya gratuity ni automatic au lazima iwe imetajwa kwenye mkataba wa ajira.
Ni sheria ipi inasimamia malipo ya gratuity hasa kwa watumishi waliopo kwenye Private Sector.
Sent using
Jamii Forums mobile app