Kwanza kabisa ununuaji wa Kompyuta aina yeyote ile inategemea na kazi inayoenda kutekeleza. Kuna watu wananunua kwa ajili ya Games, wengine wanatumia basic office stuff, wengine kwenye music and video Editing na wengine pia kwa ajili ya umaridadi. Lakini for general purpose, Pata Windows 7, Home Basic 32Bit. For video Purpose, 64bit. Tafuta Hp Pavilion g6. Kompyuta nzuri.