Msaada kuhusu laptop

Msaada kuhusu laptop

Joel360

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
986
Reaction score
657
Wakuu nimekuwa nikisikia kuwa uzuri wa laptop ni kutegemeana na uwezo iliyo nayo, naomba kwa yeyote anayejua laptop nzuri na imara ina qualification zipi? Kwa sababu nahitaji kununua na bado sijajua sifa za good laptop. Itakuwa vizuri kama ataniambia na bei pia
 
Kwanza kabisa ununuaji wa Kompyuta aina yeyote ile inategemea na kazi inayoenda kutekeleza. Kuna watu wananunua kwa ajili ya Games, wengine wanatumia basic office stuff, wengine kwenye music and video Editing na wengine pia kwa ajili ya umaridadi. Lakini for general purpose, Pata Windows 7, Home Basic 32Bit. For video Purpose, 64bit. Tafuta Hp Pavilion g6. Kompyuta nzuri.
 
shukran mkuu, hp pavilion g6 huwa nzuri for what purpose? Inaanzia bei gani
 
Hp Pavilion ni simple na basically unaeza itumia for general purpose na pia kwenye Video na Games. Kwenye Graphics pia iko vizuri. Ina RAM ya 4GB, Processor ya 1.5Ghz. Bei inaanzia $450 hadi $600. Inategemea na sehem utakayo ipata.
 
Back
Top Bottom