Nimekuwa nikisikia kuwa kuna laptop nzuri kwa matumizi na kuna ambazo si nzuri kwa matumizi(fake) sasa kwa anayefahamu ni vitu gani vya kuzingatia ninapotaka kununua laptop iliyo nzuri, na imara.?
Sidhani kama laptop fake ni tatizo kubwa. Ila kutokana na matumizi unayotaka na hela ambayo uko tayari kuspend ndo experience yako itaendana na hayo mambo.