Wadau mimi ndiyo mara yangu ya kwanza kumiliki laptop,sasa kila nikidownload kitu inaniandikia "no disc space" au "disc space is full"naombeni msaada wenu nifanyeje hapo!Maana hata pozi limeniisha.