Hahahah umemuua jamaaHata ukitumia ID ya mwanachuo wa ukweli, kama w sio mwanachuo ukiweka kwenye simu haisomi..
Alafu akienda kupiga nayo deal ashikwe mwenye kitambulisho si ndio?Nenda chuo husika tafuta anayesoma mueleweshe akusajilie line kwa jina lake
sasa inategemea na ukorofi wako..Ya nini kujisumbua?Alafu akienda kupiga nayo deal ashikwe mwenye kitambulisho si ndio?