Msaada kuhusu kutoboka meno mara kwa mara

Broxine

Member
Dec 23, 2016
28
13
habari zenu ndg,
Nina tatizo la meno kutoboka mara kwa mara na nimekuwa nikiziba lakini bado tatizo linajirudia kila baada ya miezi mitatu.
Naomba munisaidie kwa ushauri na tiba ili niondokane na tatizo hili.
Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom