Fungua hii link. ALL BOOKS: NBAA TZKaka MSAVANGWA EMMANUELY,
Nimeangalia website yao, hamna syllabus wala textbooks. Pekee nilichokiona cha kusaidia ni fees structure tu.
Pengine hawana hiyo link au tu mimi ndio sijaiona. Msaada basi ukiweza kuniwekea hiyo link.
Ahsante sana KakanguFungua hii link. ALL BOOKS: NBAA TZ
Sawa Mkuu,Kila la kherii Lady Ra,utatupa feedback ndugu zako kuhusiana na ugumu wa CPA ambao tuna 'wish' tuisome.
Sawa madam utakua unazidi kutupa feedback,maana mdogo ako soon nakua graduate na Nina wish niisome.Sawa Mkuu,
Mimi nitafanya INTERMEDIARY LEVEL yenye masomo 6, lakin nitaanza na matatu kwanza.
Nitasoma masomo haya kwa takriban miezi minne. Na since baadh Kama sio yote nilishayasoma at Degree level basi ninatumai sintopata tabu Sana.
Tupe mrejesho ulivyo huko kwenye safari yako ya masomo kama hutojali.Sawa Mkuu,
Mimi nitafanya INTERMEDIARY LEVEL yenye masomo 6, lakin nitaanza na matatu kwanza.
Nitasoma masomo haya kwa takriban miezi minne. Na since baadh Kama sio yote nilishayasoma at Degree level basi ninatumai sintopata tabu Sana.
Hivi kwa wale wanaosoma vipindi vya jioni tution centre zipo sehemu gani..? naamisha eneoModule E hatuna siku hizi, tuna Intermediate level Masomo 6,
Ishu ya materials ingia online NBAA kuna textbook & syllabus nadhani nitakuongoza vizuri..
Kuna Covenant ipo Kati ya DIT na Regency Hospital, Attitude Financial Consultants, Cornerstone Financial Consultants, Mzumbe University-Dar es salaam etc most ya hizi zipo city centre. Tumia Google map utaziona.Hivi kwa wale wanaosoma vipindi vya jioni tution centre zipo sehemu gani..? naamisha eneo
Asante sana mimi nitasomea convenantKuna Covenant ipo Kati ya DIT na Regency Hospital, Attitude Financial Consultants, Cornerstone Financial Consultants, Mzumbe University-Dar es salaam etc most ya hizi zipo city centre. Tumia Google map utaziona.
Kama sio muumini wa darasani, nakushauri uchukue online classes za Covenant, wako vizuri.Kwema Ndugu Zangu?
Mimi ni Mhasibu, elimu yangu ni Degree ya Uhasibu. Nimefanya kazi mbalimbali za uhasibu lakin naona kama nahitaji kusoma zaid, ili nipate changamoto mpya zaid na pengine majukumu mapya zaid katika fani hiihii ya Uhasibu.
Nilichopanga ni kusoma CPA. Sasa msaada naouhitaji ni kama ifuatavyo,
1) Materials
Nitaanzia Intermediary, na nitaanza January. Lakin ningependa nianze kuyapitia kwanza hata nijikumbushe ikifika January nisione mambo mageni.
2) Ushauri juu ya masomo ya kuanza nayo. Ingawa naanzia module E lakin sizan kama nitaweza masomo yote 5. Napanga nianze machache nije nimalizie mengine.
3) Ushauri juu ya Center na affordable. Pia kazini kwangu ni Posta, Dar es Salaam. Do ushauri huu naomba uzingatie hilo sababu nitasoma jioni.
4) Lolote litakaloweza kunisaidia katika Safar yangu hii ngumu nayotarajia kuianza.
Natanguliza Shukrani.