Msaada kuhusu kupostpone masomo na mkopo

diya

Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
20
Reaction score
2
Mimi nilipost pone masomo mwaka jana na nilifanikiwa kupata mkopo, na mwaka huu naresume masomo, naombeni msaada kujua je natakiwa kuomba tena mkopo au nafanyaje ili nisome kwa mkopo mwaka huu
 
Mkuu hebu elezea vizuri usaidiwe VP ulituma barua TCU na heslb kuwapa hizo taarifa au uliacha kiushikaji tu wewe
 
Nilipost pone chuo tu, sikuhairisha mkopo ila sijausaini mkopo
 
Sasa ndio ulifanya nini.Hapo bodi wanajua unaendelea kupokea na kama loan officer wenu sio muungwana anaweza kuwa ameifaidi hiyo pesa
 
Kama ulifata hatua zote za chuo pia ulitakiwa kutoa taarifa loan board ili kisitisha mkopo wako kwan kama hukufanya HVO INA maana board waloendelea kuleta pesa chuo na na inawezekana baada yankugundua haupo wakaamua kisitisha WAP kwa nguvu.. HVO unatakiwa kifika mwwnge physically usaidiwe
 
Asante mkuu nitajitahd kuwafata
 
Back
Top Bottom