miss naire
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 237
- 228
Habari za muda huu wadau, hiv majuzi niliuliza kuhusu wanafunzi majina yao yalitoka kuwa watapangwa second selection advance lakin hawakupangwa, sasa naomba msaada hapa, naona NACTE wamesha fungua system ya udahili kwa walio chelewa, nahitaji kumuombea ndg yangu kwa sasa, naona matokeo yake physics na maths inamuangusha kwa upande wa afya, mahali anapoweza kusoma ni COMMUNITY HEALTH DEVELOPMENT, naangalia guide book ya NACTE, naona vyuo vyote wanatoa BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE, sasa nauliza vip kuhusu mtu kuja kuendelea na diploma haito wezekana, au hakuna chuo kinacho toa diploma ya COMMUNITY HEALTH????
Cjakuelewa mkuukwasasa hakuna level ya diploma wala degree mwisho certificate
asante ndugu, na akimaliza hiyo certificate anaruhusiwa kuunga diploma course nyingine ya afya au ajira huwa wana ajiriwa na hizo certificate tukwasasa hakuna level ya diploma wala degree mwisho certificate
wanaajiriwa na certificateasante ndugu, na akimaliza hiyo certificate anaruhusiwa kuunga diploma course nyingine ya afya au ajira huwa wana ajiriwa na hizo certificate tu
Naomba msaada nimepata division 2 nimepangia ualimu wa awali bundaaHabari za muda huu wadau, hiv majuzi niliuliza kuhusu wanafunzi majina yao yalitoka kuwa watapangwa second selection advance lakin hawakupangwa, sasa naomba msaada hapa, naona NACTE wamesha fungua system ya udahili kwa walio chelewa, nahitaji kumuombea ndg yangu kwa sasa, naona matokeo yake physics na maths inamuangusha kwa upande wa afya, mahali anapoweza kusoma ni COMMUNITY HEALTH DEVELOPMENT, naangalia guide book ya NACTE, naona vyuo vyote wanatoa BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE, sasa nauliza vip kuhusu mtu kuja kuendelea na diploma haito wezekana, au hakuna chuo kinacho toa diploma ya COMMUNITY HEALTH????
Ushauri wangu ni usiende. Vipi yale masomo ya Hisabati? Chem? Biology umepata ngapi? Hesabu?Naomba msaada nimepata division 2 nimepangia ualimu wa awali bundaa
Chem C Biology C math D Geo C physic D Eng B history D kiswahili C Civics CUshauri wangu ni usiende. Vipi yale masomo ya Hisabati? Chem? Biology umepata ngapi? Hesabu?
Ukitaka Chuo sana, nenda vyuo vya Afya.
Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app