issa mhina
Member
- Aug 3, 2015
- 32
- 0
nimechaguliw diploma ya physiotherapy kcmc vp kwa upande. wa ajira ni chap mxaada please
Sijaelewa kitu hapa..kwani umechaguliwa bila kuomba? Mi nadhani hili swali lilitakiwa kuulizwa kabla hujaaply.
By the way,ajira kwa sasa zipo..kuhusu "chap" itategemea na uhitaji wake wakati utakapokuwa umemaliza chuo.