Kwa hiyo siku ulipoenda hospitali kwa ajili ya hicho kipimo, jamaa wakapitisha ule mrija.... shwaa! Na hapo siyo chini ya wiki mzima ulikuwa unashindia vyakula vya majimaji tu na kuendesha kwa sana.

Mhhh sio kweli, ukimaliza process tumbo tu linasumbuasumbua kidogo kama masaa mawili hivi basi unakua sawa, wanasema sijui Ile gesi wanayotumia, kama umeumwa tumbo mda mrefu, mambo ya gerd,acid,ulcers,bawasiri nk better uende ukacheck...