Hapana ila nafahamu hiyo huduma utaipata hapoUbarikiwe mkuu bei unaweza kuwa na ufahamu nao
Ulikuwa huumwi wewe. falcon Q majibu unapata hapo hapo kwa sababu ni darubini ya kuangalia tatizo lilipo ndani. Ila mara nyingine wanaweza kuchukuwa ''sample'' eg maji maji ya eneo husika kucheki zaidi mambo kama kansa. Hapo jibu litachukuwa muda wa hata wiki kadhaa lakini inategemea na uharaka wa hospital husikaTMJ wapo vizuri, wana vipimo vizuri. Niliqndikiwa hicho kipimo nikala kona mapema sana.
Ningekuwa siumwi nisijgeenda hospital mkuu¡Ulikuwa huumwi wewe. falcon Q majibu unapata hapo hapo kwa sababu ni darubini ya kuangalia tatizo lilipo ndani. Ila mara nyingine wanaweza kuchukuwa ''sample'' eg maji maji ya eneo husika kucheki zaidi mambo kama kansa. Hapo jibu litachukuwa muda wa hata wiki kadhaa lakini inategemea na uharaka wa hospital husika
TMJ wapo vizuri, wana vipimo vizuri. Niliqndikiwa hicho kipimo nikala kona mapema sana.
Mkuu nimetumia neno ''ulikuwa huumwi'' kama msisitizo tu yaani kuonyesha kuwa ungekuwa umebanwa hasa usingekula kona. Najua kuna hospital wanapenda kuandika vipimo bila kuwa na sababu kubwa yaani ni kama kupiga fedha tu... hivyo naposikia mtu anasema hivyo huwa naelewa. Lakini kma umebebwa mzobezobe, emergecy mh... tena utaona kama unachelewa.Ningekuwa siumwi nisijgeenda hospital mkuu¡
TMJ kwa vipimo wapo vizuri na hata kwa gharama, ukienda Besta wanakuchaji bei juu wanakudanganya vipimo wanapeleka Afrika Kusini kumbe wanapeleka TMJTMJ wapo vizuri, wana vipimo vizuri. Niliqndikiwa hicho kipimo nikala kona mapema sana.
Lilikuwa tatizo la miaka mingi, toka 2003 hivi nilikuwa na maumivi yasiyoisha upande aa kulia wa tumbo(lower abdominal pain), nilienda sehemu nyingi tu na hata miaka fulani nikiwa nje ya bongo nilipimwa, ila kila nikitajiwa colonoscopy nakula kona.Mkuu nimetumia neno ''ulikuwa huumwi'' kama msisitizo tu yaani kuonyesha kuwa ungekuwa umebanwa hasa usingekula kona. Najua kuna hospital wanapenda kuandika vipimo bila kuwa na sababu kubwa yaani ni kama kupiga fedha tu... hivyo naposikia mtu anasema hivyo huwa naelewa. Lakini kma umebebwa mzobezobe, emergecy mh... tena utaona kama unachelewa.
Upo sahihi, TMJ wako poa sana!TMJ kwa vipimo wapo vizuri na hata kwa gharama, ukienda Besta wanakuchaji bei juu wanakudanganya vipimo wanapeleka Afrika Kusini kumbe wanapeleka TMJ
"Maumivu yaliisha yenyewe " mhmm huwa unacheki afya mara kwa mara?Lilikuwa tatizo la miaka mingi, toka 2003 hivi nilikuwa na maumivi yasiyoisha upande aa kulia wa tumbo(lower abdominal pain), nilienda sehemu nyingi tu na hata miaka fulani nikiwa nje ya bongo nilipimwa, ila kila nikitajiwa colonoscopy nakula kona.
Hapa nasema Mungu ni mwema, maumivu yaliisha yenyewe, kuna nyakati hata kuambiwa nina colon cancer na madaktari wa mtaani.
Niliendelea kutumia dawa mkuu, na maumivu yaliisha bila kufanya hivyo vipimo vikubwa. Ingekuwa cancer kwa miaka 23 ningekuwa nimekufa na kusahauliwa kabisa."Maumivu yaliisha yenyewe " mhmm huwa unacheki afya mara kwa mara?
Basi inawezekana haikua sarataniNiliendelea kutumia dawa mkuu, na maumivu yaliisha bila kufanya hivyo vipimo vikubwa. Ingekuwa cancer kwa miaka 23 ningekuwa nimekufa na kusahauliwa kabisa.
Taarifa njema aksante mkuuHapana ila nafahamu hiyo huduma utaipata hapo
Shukrani sana mkuuUlikuwa huumwi wewe. falcon Q majibu unapata hapo hapo kwa sababu ni darubini ya kuangalia tatizo lilipo ndani. Ila mara nyingine wanaweza kuchukuwa ''sample'' eg maji maji ya eneo husika kucheki zaidi mambo kama kansa. Hapo jibu litachukuwa muda wa hata wiki kadhaa lakini inategemea na uharaka wa hospital husika
Acha uoga ukapime ujue kinachokusumbuaNiliendelea kutumia dawa mkuu, na maumivu yaliisha bila kufanya hivyo vipimo vikubwa. Ingekuwa cancer kwa miaka 23 ningekuwa nimekufa na kusahauliwa kabisa.
Siendi, nuiwe😅😅😅Acha uoga ukapime ujue kinachokusumbua