Msaada kuhusu kilimo cha Pilipili

Msaada kuhusu kilimo cha Pilipili

magzee

Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
62
Reaction score
7
Ninaomba mtu anayejua kuhusu hili zao anipe details zote kuhusu ili zao kama misimu capital faida challenges na kama eneo la Ruvu linafaa kwa hiki kilimo, madawa n.k kwasababu ningependa kufanya hiki kilimo.
 
Kwani wewe unataka kulima pilipili aina gani? je unataka kulima pilipili hoho, pilipili kichaa, pilipili mbuzi au pilipili mtama !!! zote hizo kilimo chake kina mahitaji tofauti. Weka maelezo yako vizuri ili wataalamu wakusaidie !!
 
Back
Top Bottom