Bado hawajatoa ila usijari watatoa soon jins ya kuipata unaingia
www.udom.ac.tz af utaingia sehem ya ARIS utalog in kwa namba yako ya form four na passwrd itakuwa sure name (kwa herufi kubwa) then utaipata admission letter yako ikiwa na jina lako na degree programme uliyochaguliwa na college pia pamoja na maelezo yote