Msaada, kuhusu JKT

tibmanzenjj

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
18
Reaction score
4
Vp hali wanajukwaa ? ningependa kujua hivi kuna uwezekano kwa mtu kurudi uraiani baada ya kumallza mkataba wake na jkt , ikiiwa mtu huyo ana elimu ya diploma Au degree ?
 
Vp hali wanajukwaa ? ningependa kujua hivi kuna uwezekano kwa mtu kurudi uraiani baada ya kumallza mkataba wake na jkt , ikiiwa mtu huyo ana elimu ya diploma Au degree ?

yap kk inawezekana kabisa labda uongezew mkataba
 
kwani nafasi za kujiunga na JKT kwa mwaka huu zinatoka lini kwa anaye jua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…