H Hustler89 Member Joined Apr 7, 2024 Posts 74 Reaction score 198 May 13, 2024 #1 Jana nimeenda kufanya interview ya MDA leo nimekuta wamenichagua niende next step yani oral. Nauliza kama oral pia inafanywa online?
Jana nimeenda kufanya interview ya MDA leo nimekuta wamenichagua niende next step yani oral. Nauliza kama oral pia inafanywa online?
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 35,596 Reaction score 108,629 May 13, 2024 #2 Kwanini usiwaulize hao hao wahusika ili upate jibu la uhakika?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,397 Reaction score 88,559 May 13, 2024 #3 The Icebreaker said: Kwanini usiwaulize hao hao wahusika ili upate jibu la uhakika? Click to expand... si ametuona sisi ni wambea sana tunaweza kusema ya ofisi za huko MDA!
The Icebreaker said: Kwanini usiwaulize hao hao wahusika ili upate jibu la uhakika? Click to expand... si ametuona sisi ni wambea sana tunaweza kusema ya ofisi za huko MDA!
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,750 Reaction score 126,617 May 13, 2024 #4 Oral inafanywa face to face
H Hustler89 Member Joined Apr 7, 2024 Posts 74 Reaction score 198 May 13, 2024 Thread starter #5 Mwifwa said: Oral inafanywa face to face Click to expand... sawa sawa mkuu
Turufu Garasa Member Joined May 11, 2024 Posts 74 Reaction score 1,022 May 13, 2024 #6 Hustler89 said: jana nimeenda kufanya interview ya MDA leo nimekuta wamenichagua niende next step yani oral, nilikuwa nauliza kama oral pia inafanywa online??View attachment 2989075 Click to expand... Ndiyo. Kwa nchi za wenzetu oral inaweza kufanyika online. Hata vaadhi ya mashirika ya kimataifa hufanya online. Lakini nchini kwetu Oral interview mara nyingi hufanyika haswa face to face. Jiandae na jiweke poa. Angalia hapo kwenye timetable utaambiwa lini na wapi itafanyika. Kila la kheri Mkuu.
Hustler89 said: jana nimeenda kufanya interview ya MDA leo nimekuta wamenichagua niende next step yani oral, nilikuwa nauliza kama oral pia inafanywa online??View attachment 2989075 Click to expand... Ndiyo. Kwa nchi za wenzetu oral inaweza kufanyika online. Hata vaadhi ya mashirika ya kimataifa hufanya online. Lakini nchini kwetu Oral interview mara nyingi hufanyika haswa face to face. Jiandae na jiweke poa. Angalia hapo kwenye timetable utaambiwa lini na wapi itafanyika. Kila la kheri Mkuu.
M mavumbamakasha JF-Expert Member Joined Aug 18, 2020 Posts 228 Reaction score 450 May 13, 2024 #7 Huyu hayuko serious ila ndiye atakayepata kazi!
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,324 Reaction score 13,256 May 13, 2024 #8 Angalia hapo kwenye timetable....wanaonyesha kila kitu, kama ni Dar au Dodoma
M Mzalendo120 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2022 Posts 1,917 Reaction score 2,546 May 13, 2024 #9 Wanatakiwa watu wangapi na mmeombwa wangapi? Unamjua au anakujua nani? Umetanguliza nini? Au unaendaendatu
Wanatakiwa watu wangapi na mmeombwa wangapi? Unamjua au anakujua nani? Umetanguliza nini? Au unaendaendatu