Wandugu, naombeni ushauri wenu, nimejaribu kupita pita madukani kutaka kununua television ambazo ni full HD, na music system,nimeshangaa kuona bei ya TV hizi hapa kwetu wakati mwingine inafika mpaka mara tatu ya bei za nchi kama Marekani, mpaka nimefikia kufikiria kugiza kutoka huko. wazoefu wa haya mambo mnafikiri hili ni wazo zuri? naomba pia kama kuna mtu anayejua import duty ya television na music systems anisaidie.
Kuna sehemu/nchi nyingine yoyote karibu amabayo vitu hivi vinapatikana kwa bei nzuri
Asanteni
Total Value( Customs Value: CIF) Dar Es Salaam, 25% na 18%. Mfano kama Smart TV ya samsung Nch 32 ni dola 900 basi kodi yake ni 900x25%= 225(225+900)=1125x18%=205.50, hivyo 225+205.50 = 427.50 USD. Kodi ni 427.50,pia kutakuwa na gharama nyengine ndogondogo kama za shipping na handling pamoja na agency fees.
Kama ni mpenzi wa Samsung tembelea JMall pale Freedom wana tv nzuri tu za kisasa full HD na 3D,kama ni mpenzi wa Make nyengine pia shuka na hiohio Samora karibu na Sapna walipokuwepo City Furtniture zamani utapata TV nzuri sana of the same features. Natumai nimekusaidia.
duh, mbona kama wizi huo?? a 40% levy on imported electronics, lini wabongo wataweza afford vifaa vya maana? goddamned country :/
Ndugu yangu hizo ndo rate za kodi za Tanzania, baadhi ya wakati unakuja kuona kodi ni kubwa ukilinganisha na thamani halisi ya item yako.
duh, mbona kama wizi huo?? a 40% levy on imported electronics, lini wabongo wataweza afford vifaa vya maana? goddamned country :/
Mara mia ukanunu bidhaa hiyo hiyo bongo kuliko kuagiza. Sababu ni kwamba bidhaa za bongo zinakwepwa sana kodi, hivyo sometimes bei inakuwa chini. Take it from me. Sony Bravia brand new, 42" kwa 1,700,000/-. Ingekuwa nimetoka nayo nnje ya nchi nisingepata kwa bei hiyo.
Exemption(misamaha ya kodi) hutolewa kwa watu maalumu(WAEKEZAJI) na kwa vitu maalum kama capital goods, pia kuna unafuu wa baadhi ya bidhaa kwani huwa na 0 rate kama computers, au nyengine unalipia asilimia 18 tu ya VAT,pia kuna baadhi ya bidhaa unalipia 25% 10%,kodi nyingi zipo kwenye magari ambayo hasa yenye uchakavu rate zake sana ni 25%,20%,10% or 5% na 18%.wait, sijaelewa. ni zipi zinakuwa taxed na ni zipi ni exempt?
nisamehe but nipo very ignorant ikifika kwa matters pertaining to affairs in the country
wait, sijaelewa. ni zipi zinakuwa taxed na ni zipi ni exempt?
nisamehe but nipo very ignorant ikifika kwa matters pertaining to affairs in the country
duh, mbona kama wizi huo?? a 40% levy on imported electronics, lini wabongo wataweza afford vifaa vya maana? goddamned country :/