Block Ni eneo kubwa laweza kuwa na nyumba hata hamsini ndani yake.Ambapo kila nyumba inakuwa na ploti namba yake..Blocks huwa Zina namba.Wandugu,
Kuna kaofisi nimepanga maeno ya masaki kwenye plot Number xxx. Najaribu kufanya registration Brela kwaajili ya anual returns lakini system inahitaji Block number na House number vitu ambavyo sina.
Hivi kuna tofauti ya Plot No. na Block/House No.?
Mfano : Block 41 ,Ada Estate ,Plot # ....Block Ni eneo kubwa laweza kuwa na nyumba hata hamsini ndani yake.Ambapo kila nyumba inakuwa na ploti namba yake..Blocks huwa Zina namba.
Ndio .Ila nashangaa masaki kusiwe na block namba na plot namba au house namba.Sababu hata uswahilini nyumba nyingi Zina namba zile za leseni za makaziAsante Sana Mkuu, So the same applies to house Number.
X,Wandugu,
Kuna kaofisi nimepanga maeno ya masaki kwenye plot Number xxx. Najaribu kufanya registration Brela kwaajili ya anual returns lakini system inahitaji Block number na House number vitu ambavyo sina.
Hivi kuna tofauti ya Plot No. na Block/House No.?
Sawa kabisa afisa ardhi mteule.Block Ni eneo kubwa laweza kuwa na nyumba hata hamsini ndani yake.Ambapo kila nyumba inakuwa na ploti namba yake..Blocks huwa Zina namba.
Mfano lenye ekari 40 wapima wanaweza kuligawa kwenye Blocks 2 @ block ekari 20... Block ya kwanza wanaweza ipa namba Y na nyingine Z... Then kila block wanaigawanya kwenye viwanja (plots) na kila plot inapewa namba say from 1 mpaka 200.... Ndiyo unakuta Eneo MKUNDI, block Y plot 5. Baadae ukijenga nyumba inapewa nayo house no.Asante Sana Mkuu, So the same applies to house Number.