K kimwasi Member Joined May 10, 2015 Posts 19 Reaction score 0 May 29, 2015 #1 habarini za majukumu,samahani ningeomba kujuzwa kama honey king wananunua asali kwa wauzaji wadogo na kama ndio wananunua kwa bei gani?na kama kuna mtu mwenye mawasiliano yao anisaidie maana kwenye website yao hawajaweka.natanguliza shukrani
habarini za majukumu,samahani ningeomba kujuzwa kama honey king wananunua asali kwa wauzaji wadogo na kama ndio wananunua kwa bei gani?na kama kuna mtu mwenye mawasiliano yao anisaidie maana kwenye website yao hawajaweka.natanguliza shukrani
K kimwasi Member Joined May 10, 2015 Posts 19 Reaction score 0 Jun 1, 2015 Thread starter #2 kwa yeyote mwny kujua hapo anisaidie
ChamaDola JF-Expert Member Joined Dec 23, 2016 Posts 3,431 Reaction score 2,804 Jan 5, 2017 #3 Hata mie natafuta infos zao!