Kumbo El Capitanol
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 286
- 237
Asante Mkuu.Daaah usinikumbushe machungu....nliacha advance nkaenda kusoma petroleum geoscience, matokeo yake hata field ikawa ni shida, tatizo kubwa hapa kuna kozi kwa tz bado sana ila zilianzishwa kwa haraka na mihemko ya siasa....nipo kitaa huwezi fanya sehemu yoyote hasa kwenye migodi, kupata nafasi kule mtwara napo ni shida, ushauri wangu fanya maamuzi sahihi and the end ukiweza soma mineral processing eng. Au mining ajira zipo nying tu.
Kwann Mkuu!Piga chemical&processing huko utakuwa eng wa shell tu.
Degree yake inatolewa chuo gani hapa bongo mkuu na utofauti wake ni upi na oil &gas engineering kwenye uhaba wa ajira.Daaah usinikumbushe machungu....nliacha advance nkaenda kusoma petroleum geoscience, matokeo yake hata field ikawa ni shida, tatizo kubwa hapa kuna kozi kwa tz bado sana ila zilianzishwa kwa haraka na mihemko ya siasa....nipo kitaa huwezi fanya sehemu yoyote hasa kwenye migodi, kupata nafasi kule mtwara napo ni shida, ushauri wangu fanya maamuzi sahihi and the end ukiweza soma mineral processing eng. Au mining ajira zipo nying tu.
SOMA CIVIL ENG...Tukiwa bado hatujaanza kutupa
karata zetu kwenye mambo ya
udahili 2017/2018 nilikuwa
naomba msaada juu ya hii koz
Ya oil/petroleum & gas ambayo
haina miaka mingi Hapa tanzania
Ktk vyuo vyetu so Kwa mwenye
kujua zaidi kuhusu hii kozi ya
engineering especially Kwenye
Upatikanaji wa ajira both Internal and external.
Coz kumekuwa na habari tofauti za
kusikia kwamba hii ni moja ya kozi
ya engineering ambayo inafuture
Nzuri hapo badae pia wapo
Wanaosema hii ni koz ambayo hina
Ufinyu wa ajira yaani ajira zake ni
probability kupata kutokana na
maeneo machache kwenye hii field
na imebase kwenye Kuajiriwa kuliko kujiajiri.!!!!!
Pls naombeni msaada ndugu zangu !!!!!
Uwanja wa petrol na gas ni narrowed kwenye ajira ...na haina selfemployment huwez kufny chochot kitaaKwann Mkuu!
Noted Mkuu!!!!Uwanja wa petrol na gas ni narrowed kwenye ajira ...na haina selfemployment huwez kufny chochot kitaa
Kama unataka kuvimbia mademu na kutambia kitaa na 100% ya bum lako sawa ila kama unataka kuwa mkwanja piga hizo
Chemical
Civil
Electeical
Mechanical
Industrial etc
Petrol yale ni magumashi tu.
T.O wa mwka jana alihama petrol yuko Electrical eng.
Kama unaweza kunote note!
Viva UmemeUwanja wa petrol na gas ni narrowed kwenye ajira ...na haina selfemployment huwez kufny chochot kitaa
Kama unataka kuvimbia mademu na kutambia kitaa na 100% ya bum lako sawa ila kama unataka kuwa mkwanja piga hizo
Chemical
Civil
Electeical
Mechanical
Industrial etc
Petrol yale ni magumashi tu.
T.O wa mwka jana alihama petrol yuko Electrical eng.
Kama unaweza kunote note!
Pamoja Mkuu DIT itahusika !!!Electrical ndo mpango mzima mkuu
Njoo usome Civil Field zipo Kila MahaliSOMA CIVIL ENG...
Kuna wadau wamesoma hiyo wamenishsuri humu juu ya hasara za kusoma hiyo kozi Mkuu!!! sasa Mkuu wew umeiona ipo poa ktk upande upi mkuu yaani inafit sana maeneo gani (areas of field).pigaa petroleum geology autojutaa kjn
Akikujibu nishtue na mimi!Kuna wadau wamesoma hiyo wamenishsuri humu juu ya hasara za kusoma hiyo kozi Mkuu!!! sasa Mkuu wew umeiona ipo poa ktk upande upi mkuu yaani inafit sana maeneo gani (areas of field).
Petroleum Geology ni deal sana...coz hauko limited na mafuta tu kama watu wanavyofikiriaKuna wadau wamesoma hiyo wamenishsuri humu juu ya hasara za kusoma hiyo kozi Mkuu!!! sasa Mkuu wew umeiona ipo poa ktk upande upi mkuu yaani inafit sana maeneo gani (areas of field).