Msaada kuhusu hii Excel

Oi nataka kuunganisha dile 7 za excell ili liwe file moja nafanyeje?
 
Mimi nataka kutengebeza Data entry form ambayo itanisaidia kuingiza data kwenye excel sheet kirahisi, kuna mtu alinishauri nitumie VBA ndio inaweza sasa sijui hata nianzie wapi, kama kuna mtaalamu humu anaweza nisaidia hiyo VBA kwenye excel
Kama data ziko simple na hazina variables nyingi tumia tu excel form, vba ni advanced kidogo kama data zako ni complex
 
Kama data ziko simple na hazina variables nyingi tumia tu excel form, vba ni advanced kidogo kama data zako ni complex
Excel form inakuajr??nipe pending kidogo.

Nataka tu niwe na template niwe naingiza tu data
 
Excel form inakuajr??nipe pending kidogo.

Nataka tu niwe na template niwe naingiza tu data
Nashindwa kuandika steps lakini google tu "how to create a data entry form in excel" ukikwama sehemu tutaelekezana.
 
Natumae mleta mada ulipata muongozo...
 
Ameprotect cells lakini amesahau kuweka tick kwenye option ya "select cells". Kama angeweka tick, hata kuziselect hizo locked cells usingeweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…