Okay... kwahiyo hapo hakuna maujanja mengine?Wakati mwingine yule aliyekutumia template anaweza akawa ameprotect baadhi ya cells ili zisiwe edited na kuacha baadhi kwa ajili ya kuedit.
Hilo linafanyika sana kwenye templates ambazo zitakuwa uoloaded baadaye kwenye mfumo
Open new excel sheetOkay... kwahiyo hapo hakuna maujanja mengine?
kwanini mkuu! imekufanyaje??Excel Nina hasira nayo..nataka mimaswali magumu
Swali lake aliweke vzr tu itasaidia kusolve.kwanini mkuu! imekufanyaje??
Asante mbabe wa excel [emoji23]Hapana
Past kwenye PC then nenda kama una isave upywa kwenye PC yako...wkt wa kupast chagua kwanza pale chini 1993-2003 sikumbuki, then save kwenye location nyingine sio my doc au desktop, au drive nyingine noo tafuta sehem ingine kabisa.
Save as then ussiipe Jina tumia Jina hilohilo.. then save..
Ifungue halafu tuendelee
Ilikubali?? Maana ndio lengo... tatizo hauleti feedback, Mkuu😅Asante mbabe wa excel [emoji23]
Ilikubali boss... japo ni nyingine tu na tatizo lingine ila nikajaribu hatua ulizoelekeza ikakaa sawa, ile ya kwanza ndo ilipita hivihivi unajua mambo mengi tukiuliza mpaka kupata majibu muda nao unakuwa umepita kwahiyo tunaweka kumbukumbu tu kwajili ya siku nyingine kwa tatizo kama hiloIlikubali?? Maana ndio lengo... tatizo hauleti feedback, Mkuu[emoji28]
Mimi nataka kutengebeza Data entry form ambayo itanisaidia kuingiza data kwenye excel sheet kirahisi, kuna mtu alinishauri nitumie VBA ndio inaweza sasa sijui hata nianzie wapi, kama kuna mtaalamu humu anaweza nisaidia hiyo VBA kwenye excelSwali lake aliweke vzr tu itasaidia kusolve.
Napenda Sana Excel..na napenda maeneo magumu magumu. Kuna the magic of Excel, haisaidii sana
Ilikubali boss... japo ni nyingine tu na tatizo lingine ila nikajaribu hatua ulizoelekeza ikakaa sawa, ile ya kwanza ndo ilipita hivihivi unajua mambo mengi tukiuliza mpaka kupata majibu muda nao unakuwa umepita kwahiyo tunaweka kumbukumbu tu kwajili ya siku nyingine kwa tatizo kama hilo
Ndgu hii VBA ni advance kidg(visual basic for application) inakubidi upate darasa..humu humu utapitia hizi tutorial.Mimi nataka kutengebeza Data entry form ambayo itanisaidia kuingiza data kwenye excel sheet kirahisi, kuna mtu alinishauri nitumie VBA ndio inaweza sasa sijui hata nianzie wapi, kama kuna mtaalamu humu anaweza nisaidia hiyo VBA kwenye excel
OK! Ahsante kwa msaada vp lakini unaweza kunipa msaada personal nikawa nakupigia simu kwa ajili ya maelekezo maana kunahitaji kutuliaNdgu hii VBA ni advance kidg(visual basic for application) inakubidi upate darasa..humu humu utapitia hizi tutorial.
Lkn pia unaweza ukaingia hapa nenda kwenye control panel> chagua program, then program and features> then Microsoft office in the programs(office program yako) change.
View attachment 2269897
Ukilenga kuweka BVA
Mimi kama mimi ningekushauri ujifunze C# kwani ni rahisi na utakuwa na uwanja mpana wa kufanya kazi. Ni ushauri tu kwani sijui kwanini umeamua kwenda kwa VBAOK! Ahsante kwa msaada vp lakini unaweza kunipa msaada personal nikawa nakupigia simu kwa ajili ya maelekezo maana kunahitaji kutulia
Nimeamua VBA kwa sababu nipo kwenye ofisi ambayo kazi zetu zote tunatumia Excel so kuna kazi zinakua ngumu kufanya kwenye excel so ukiweka VBA inarahisisha kidogoMimi kama mimi ningekushauri ujifunze C# kwani ni rahisi na utakuwa na uwanja mpana wa kufanya kazi. Ni ushauri tu kwani sijui kwanini umeamua kwenda kwa VBA