Nina ps3 nimeichip na nahitaji kucheza games online ... Kuna story kwamba niki connect na internet ps3 ita corrupt all files sasa vipi nitacheza online. ??
Dah nilifanyaga mda sana hio kitu ila kuna firmware hivi kama sio hio kuna app unaweka kwenye ps3 unaingia online bila shida mimi ndo nilikua natumia hio ila ni mda sana mana na ps3 yenyewe nilishauza ila hivihivi usiingie