Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,647 Reaction score 104,703 Mar 5, 2013 #1 Wakuu habari. Nimesikia sana hii kitu na kuona baadhi ya video YouTube lakini sijaelewa vizuri maana nilikosa wa kumuuliza. Anaeweza nisaidia kidogo kunipa maelezo... Maana ata sijaelewa baada ya kuvisit sites mbalimbali.
Wakuu habari. Nimesikia sana hii kitu na kuona baadhi ya video YouTube lakini sijaelewa vizuri maana nilikosa wa kumuuliza. Anaeweza nisaidia kidogo kunipa maelezo... Maana ata sijaelewa baada ya kuvisit sites mbalimbali.
ManiTek TV JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 410 Reaction score 159 Mar 5, 2013 #2 Soma makala hii huenda ikakupa mwanga kidogo: Gajetek - Gajet na Teknolojia: Google Kutoa Kompyuta ya Miwani Mwaka Huu
Soma makala hii huenda ikakupa mwanga kidogo: Gajetek - Gajet na Teknolojia: Google Kutoa Kompyuta ya Miwani Mwaka Huu