Duh! Hiyo gari kila siku naiwaza... Kuipata kwa kuagiza kutoka nje andaa kama kumi na tatu hivi... Bei ya kukanunua hako kadude ni sawa tu na kununua Rav 4 au X trail am telling you...
Sure nahitaji lakini kwanini usiweke picha kila MTU akaiona[/
Kiongozi hiyo gari siuzi mimi kuna sehemu nimeikuta ikiwa sokani nilitaka kukusaidia tu.Sorry kama nimekukwaza.