wakuu nilikuwa nahitaji msaada wa halaka wa kujua elimu ya Uganda kwa upande wa kidato cha tano na sita uko vipi kwani nimetry kuangalia post za zamani hapa jamii forum pamoja na information mtandaoni kuhusu elimu ya Uganda lakini sijaambulia kitu chochote kile.
Mkuu mimi kumbukuku Zangu ni kuwa D tatu za o level za hapa Tanzania unaweza kujiunga na Five na six uganda hila hizo D siziwe za BRN ,.nina rafki zangu miaka ya nyuma walienda advance kwa kigezo hicho