Msaada kuhusu Distance Learning Support Network!!!!

Isac

Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
42
Reaction score
4
Habari wana Jamiiforum kuna mtu anawafahamu Distance Learning Support Network walitoa nafasi za Admission Coordinators, Je kuna yeyote anaejua kinachoendelea?
 
Isac angalia gazeti la Daily News la 17 January 2013 kuna kazi ya HR inaweza kukufaa
 
Last edited by a moderator:
Habari wana Jamiiforum kuna mtu anawafahamu Distance Learning Support Network walitoa nafasi za Admission Coordinators, Je kuna yeyote anaejua kinachoendelea?

Itakuwa hukubahatika tu ndugu yangu, maana binafsi niliomba wakanitumia maswali ya interview nikayajibu, baadaye wakanitumia nijaze form na nitume copy ya vyeti certified kwa ajila ya mkataba, lakini kwa sababu zangu binafsi sikuendelea nao, hivyo nadhani kunawatu watakuwa wameanza kazi!
 
yawezekana mkuu maana na mimi walinitumia form ilinijaze na kutuma copy ya vyeti certified sikufuatilia wameishia wapi
 

yawezekana mkuu maana na mimi walinitumia form na kusema nitume copy ya vyeti certified but sikufuatilia
 
Nilikuwa mmoja wa watu waliorudisha form na vyet.... lakini sijasikia tena toka kwao... last december nilifanikiwa kuongea na muhusika pale akaniambia kuwa mchakato wa kuangalia tena hizo nafasi itaanza tena januari hiii....

Nadhani tusubiri bana...
 
ANDERNORMANS
umesema kuwa uliongea na muhusika na kusema kuwa mchakato utahanza tena january, kaka mimi hapo sijakupata vzr, inamaana kuwa watatanga upya izo nafasi na sisi ndo tumepigwa chini au ndo watazi review kwa wale ambao tulikuwa tuisha fikia hatua ya ya kupeleka certified copy?
 
Nilikua namaanisha mwendelezo wa pale walipoishi kaka mkubwa.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…