Msaada kuhusu diploma ya lab technology SUA!

Cod-2

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2017
Posts
297
Reaction score
439
Habari za majukumu wakuu...!!? Naomba kufahamiahwa kuhusu kozi inayotolewa pale SUA ya laboratory technology.. inausiana na mambo gani na nyanja zake za kufanya kazi zikoje..?? Kwa wale wenye uelewa nayo au mlioisoma asa kwa ngazi ya diploma. Ahsante. Ntashukuru kwa msaada wenu wana jukwaa.
 
Wakuu bado naomba msaada wenu nasubiri majibu yenu. Tafadhali naomba mnisaidie..
 
Wakuu bado naomba msaada wenu nasubiri majibu yenu. Tafadhali naomba mnisaidie..
Kwa kifupi lab technology ya sua inahusu maabara za wanyama! Kuna kipindi graduate wa hiyo kozi walinyimwa kufanya kazi kwenye maabara za binadam... Sijui kama washarekebisha mtaala wa hii kozi ili wa fit kote!!

Labda nikuulize, wewe kama wewe unataka kusoma lab technology alafu badae iweje?

Je unaipenda toka moyoni?

Je una nia ya kuajiriwa au kujiajiri?

Kwanin lab technology na sio veterinary medicine??

Nijibu maswali yote bila kuruka hata moja ili tuendelee!!
 
duh hii kozi si aliisoma muandishi wa vitini vya biology & chemistry kwa advance level. wanamuita issue boy au sio hii ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…