Nime download dc-unlocker client ila kila nikijaribu ku unlock modem inadai kulogin pamoja na password, naombeni msaada kwa yule mwenye uzoefu nayo ili niweze kuitumia
Nime download dc-unlocker client ila kila nikijaribu ku unlock modem inadai kulogin pamoja na password, naombeni msaada kwa yule mwenye uzoefu nayo ili niweze kuitumia
hiyo modem huwezi i unlock kwa kutumia dc unlock imekuwa locked kwenye firmware, nadhan hiyo utahitaji QST, huaweii flasher na firmware nyingine kwa jili ya ku unlock
Nime download dc-unlocker client ila kila nikijaribu ku unlock modem inadai kulogin pamoja na password, naombeni msaada kwa yule mwenye uzoefu nayo ili niweze kuitumia
DC Unlocker wanatoa paid service. Yaani sio free labda utafute cracked dc unlocker ambayo kuna kipindi wadau kwenye hili jamvi waliipost, kwahiyo jaribu ku-search unaweza upata huo uzi. Kama unataka utumie genuine dc unlocker software ni lazima uji-register then ukiirun ikikuambia ingiza user name na password utaingiza hizo ulizotumia wakati unaji-register. Kumbuka ili waweze ku-unlock modem yako lazima kwanza ucheki kama ipo kwenye list ya modem wanazoweza ku-unlock pili akaunti yako lazima iwe na sufficient credit zinazotakiwa ku-unlock aina husika ya modem.