yungsteval
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 309
- 109
vinatolewa buree wanataka cha juu haooo
duh..,huo mkoa gan mkuu,hcho cheti cha form six tu kinatolewa bure iwe hcho cha la saba?kinatolewa bure kabsa nenda na passport size mbili,wakikuzngua nenda serikali za mitaa ukatoe taarifaHabari.....jana nilenda shule ambapo nilimalizia elimu yangu ya msingi kuchukua cheti changu.....nikaambiwa ili nikipate lazima nitoe kiasi cha sh 5000.....je hiyo ndo bei yake au vinatolewa bure??
mikazó;8769810 said:duh..,huo mkoa gan mkuu,hcho
cheti cha form six tu kinatolewa bure iwe hcho cha la saba?kinatolewa
bure kabsa nenda na passport size mbili,wakikuzngua nenda serikali za
mitaa ukatoe taarifa
mikaz¨®;8769810 said:...Kinatolewa bure kabisa, nenda na passport size mbili...
mikazó;8769810 said:duh..,huo mkoa gan mkuu,hcho cheti cha form six tu kinatolewa bure iwe hcho cha la saba?kinatolewa bure kabsa nenda na passport size mbili,wakikuzngua nenda serikali za mitaa ukatoe taarifa
ndugu yangu kuwa mpole
awo wanaokujaza ujinga, ukikosa hatakuwepo. ukijifanya mjanja watakambia
havipo. maoni yangu
ndugu yangu kuwa mpole awo wanaokujaza ujinga, ukikosa hatakuwepo. ukijifanya mjanja watakambia havipo. maoni yangu
Wape tu bana. usiwe na mkono wa birika uwe unatoa bana.