miriam 11 Member Joined Jan 19, 2017 Posts 29 Reaction score 17 Jun 19, 2017 #1 Heshima yenu wakuu... Polen na kazi pia samahani kwa usumbufu huu Kwa anaejua taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa kwa mtu mzima tafadhali naomba kuelekezwa Asanten
Heshima yenu wakuu... Polen na kazi pia samahani kwa usumbufu huu Kwa anaejua taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa kwa mtu mzima tafadhali naomba kuelekezwa Asanten