ili kupata chq book(kitabu cha hundi)lazima uwe na current acc..hii yaweza kuwa personal current acc ama business current acc.
hutumika kwa ajili ya kufanyia malipo
ulipwaji wake unatumia sysytem ya BOT inayoitwa TACH.
interbank chqs malipo hufanyika ndani ya siku 2 hadi 4,,,inhouse chqs huwa zinalipwa within 24 hrs after confirmation.