Mimi ni mmoja kati ya loan beneficiaries wa mwaka 2015/16 ila swali langu ni kwamba lini hizo pesa zitakuwa deposited kwetu sisi wahusika coz wengine tunazitegemea hizo ili twende chuo na vyuo tayari vishafunguliwa wengine bado tuko nyumbani kwa tatizo la ukosefu wa pesa
pole sana mkuu,,,, jaribu kukopa hata kwa ndgu na jamaa maana pesa hio huwa haitolewi kama unovofikiria, ile pesa mpaka usajiliwe chuoni na baada ya hapo unasaini ndipo iingie kwenye akaunti,, tenaa baada ya siku 5 na hata wiki pia
Jitahidi uende Chuo ufanye registration kwanza muda wa orientation ndio huu
Lakini mkuu,joining instruction inasema lazima uwe umelipa kila kitu ndo usajilliwe,sasa mwanafunzi anaanzaje kusoma orientation wakati hela hazijatoka?
Mimi ni mmoja kati ya loan beneficiaries wa mwaka 2015/16 ila swali langu ni kwamba lini hizo pesa zitakuwa deposited kwetu sisi wahusika coz wengine tunazitegemea hizo ili twende chuo na vyuo tayari vishafunguliwa wengine bado tuko nyumbani kwa tatizo la ukosefu wa pesa
Mimi ni mmoja kati ya loan beneficiaries wa mwaka 2015/16 ila swali langu ni kwamba lini hizo pesa zitakuwa deposited kwetu sisi wahusika coz wengine tunazitegemea hizo ili twende chuo na vyuo tayari vishafunguliwa wengine bado tuko nyumbani kwa tatizo la ukosefu wa pesa
Lakini mkuu,joining instruction inasema lazima uwe umelipa kila kitu ndo usajilliwe,sasa mwanafunzi anaanzaje kusoma orientation wakati hela hazijatoka?
Lakini mkuu,joining instruction inasema lazima uwe umelipa kila kitu ndo usajilliwe,sasa mwanafunzi anaanzaje kusoma orientation wakati hela hazijatoka?
Wakuu mambo vp??naomba kujua kama umepata chuo na mkopo asilimia mia..na ukaahirisha mwaka wa masomo!!je unaweza kupata mkopa tena kwa mwaka unaofatia???