Mkuu usiogope ishu ya spare kama umeweza kuagiza gari sidhani kama utashindwa kuagiza spare...epukana na ugonjwa wa wabongo wengi wa kuogopa magari ya aina hiyo kwa kisingizio cha spare parts.
audi A4 ni gari zuri sn mm ninayo na limenishinda kwani niligonga jiwe gari ikaharibika mguu mbele ukawa na erro cjaweza kutengeneza kwani hakuna fundi wa hizo gari na nimeagiza spears over seas mpaka nimechoka

umenena mkuu, wabongo wengi nakosanaga nao kwa huo ujinga wa kusema spea adimu, mara gari inakula sana mafuta, hivi umeagiza gari kali ushindwe kuinunulia mafuta?? itakua uwenda wazimu