Wapo vizuri ila mizigo mingi wanauza jumla jumla na sio rejareja, lakini pia unatakiwa uwalipe Alibaba mwenyewe kwenye account yao na sio ya muuzaji watakutapeli ila ukiwa makini ni kammpuni nzuri sana mkuu na uhakika pia kupata mzigo wako ni asilimia kubwa
Tumia ebay au amazon
watakuja kukuelezea wajuvi vizuri.. ila nnavofaham ni waaminifu.
Kama bado huna elimu na hilo mkuu tulia kwanza ujifunze usije kurupuka Utalia au tafuta mtu akupe shule vizuri ndio ufanye kuagiza mkuuNdio nawalipaje kwenye account yao maana natumia app yao nimeidownload na natumia mastercard kuwalipa ntajuaje nimewalipa Alibaba wenyewe au wauzaji?
Unaponunua eBay au Amazon au AliExpress malipo yako yanashikiliwa na Hao kisha Yule seller anatakiwa delivery afanye akishathibitishwa na wewe kama umepokea mzigo wako ndio analipwa.Ndio nawalipaje kwenye account yao maana natumia app yao nimeidownload na natumia mastercard kuwalipa ntajuaje nimewalipa Alibaba wenyewe au wauzaji?
Unaponunua eBay au Amazon au AliExpress malipo yako yanashikiliwa na Hao kisha Yule seller anatakiwa delivery afanye akishathibitishwa na wewe kama umepokea mzigo wako ndio analipwa.
Kama hajadeliver mzigo unafile disputes unarejeshewa fedha yako
Yap ni ya Billionaire Jack Ma ambaye juzi tu hapa amewakiana na Serikali ya chama cha Kikomunisti ya China.Mimi nimekuwa naagiza tuvituvitu kama simu nao AliExpress na sijapata majanga yoyote na pia walioshindwa kufikisha mizigo yangu walinirudishia fedha yangu.AliBaba Naona kama ni Kwa Mizigo Mikubwa (Bulk ).Oooh basi hao wako vizuri hivi Aliexpress na Alibaba ni kampuni ileile?
Naomba msaada kwenye kulipia ulitumia njia ipi kufanya Malipo maana mm natumia Master card lakini bado nambiwa payment unsuccessful na salio lipo la kutosha.Yap ni ya Billionaire Jack Ma ambaye juzi tu hapa amewakiana na Serikali ya chama cha Kikomunisti ya China.Mimi nimekuwa naagiza tuvituvitu kama simu nao AliExpress na sijapata majanga yoyote na pia walioshindwa kufikisha mizigo yangu walinirudishia fedha yangu.AliBaba Naona kama ni Kwa Mizigo Mikubwa (Bulk ).