Msaada kuhusu aina laptop ya kununua

Msaada kuhusu aina laptop ya kununua

Elianto

Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
16
Reaction score
6
Wakuu nataka kununua laptop yenye specifications zifuatazo.
Processor:core 2 duo
Hard disk: 128-320gb
Ram:2gb
Graphics card: 128-500mb
dvd writer,webcam,wi-fi,blueooth.
Sasa nilikua naomba ushauri ninue laptop ya kampuni gani/model gani yenye hizo specifications na yenye sifa za uimara, inaweza kupatika kwa bei gani.
 
Kama una mkwanja wa kutosha jitose Dell Latitude E6430 au E5430 $1400.

Pia ili nikushauri vyema ni vinzuri nikajua wewe umetenga bajeti kiasi gani kwa ajili ya kununua laptop. Nikijua hicyo itakuwa rahisi sana kukushauri.
 
Sawa, sasa kwa hiyo hela niliyonayo naweza laptop ipi mpya na yenye specifications zipi.
 
Sawa, sasa kwa hiyo hela niliyonayo naweza laptop ipi mpya na yenye specifications zipi.

Mkuu bei hiyo waweza pata mini-laptop. Unzuri na ufanisi wake inategemea unataka kuitumia kwa ajili y nini. Lakini mini-laptop nyingi hazina graphics kubwa. Memory (RAM) na ukubwa wa harddisk siyo ishu sana. Tatizo ni processing power pamoja na data bus speed ni ndogo. Ungekuwa na 700,000/= ningekutafutia laptop mpya nzuri yenye processing power kubwa ingawa si heavy duty kama Dell Latitudes.
 

Utapata laptop nzuri kiasi ingawa si heavy duty kama Dell Latitude.

Dell Latitude E5430 @Tshs 1,200,000/=

  • 3rd gen Intel® Core™ i5-3230M Processor (2.6GHz, 3M cache)
  • Windows 7 Professional,w XP Mode
  • 14.0" HD (1366x768) Anti Glare LED-backlit
  • 4GBDDR3 SDRAM at 1600MHz
  • 500GB 7200rpm Hard Drive
  • 8X DVD+/-RW
  • Express Card
  • 1 Year Basic Hardware Service with 3 Year NBD Onsite Service after Remote Diagnosis
 
Shukrani wakuu kwasababu nitakua nafanyia kazi kama image editing na kazi nyingine nadhani mini laptop haitanifaa, hapa cha muhimu niongeze hela nipate laptop nzuri zaidi kama mlivyonishauri.
 
Shukrani wakuu kwasababu nitakua nafanyia kazi kama image editing na kazi nyingine nadhani mini laptop haitanifaa, hapa cha muhimu niongeze hela nipate laptop nzuri zaidi kama mlivyonishauri.

Kama ni kwa image editing haikufai mkuu. Jitahidi tu kutunza hiyo 450,000/ wakati unatafuta ya kuongezea. Unzuri wa Jf huwezi kukosa ushauri.
 
Kanunue toshiba satelite C660.
Tumia siku nzima haichemshi,betry inakaa masaa manne.
Na mambo mengine mazuri
 
Back
Top Bottom