mtanzania_mzalendo
New Member
- Oct 30, 2017
- 1
- 0
Habari wana Jf
Mimi ni kijana wa miaka 27. Nimepata tatizo la kutokwa nywele kichwani. Yani nikiosha nywele zinatoka nyingi halafu nabaki na kipara. Nimefatilia nikajua hili tatizo linaitwa Alopecia Areata. Kuna mtu yeyote anajua tiba kuhusu tatizo hili? Na kama ushawahi kupata tatizo ulitumia dawa gani?
Asante