usieke trust sana simu ni original sema zimefeli ni wp6
Sjawahi tumia hio simu ila nimejaribu source tofauti na nimepata njiaa hii
Bonyeza start then setting then connection shuka chini hadi uone sehemu imeandikwa gprs
Click hapo kama zipo conection utaziona hapo kwa uhakika zaidi tutengeneze yetu.
Bonyeza menu button then click add hapo ndo uwanja wako sasa wa kueka details za mtandao husika
connection name eka chochote na apn (access point name) eka internet vyengine acha blank
Turn back then tumia hio profile kwenye kila kitu cha net