Yaan wewe unasoma Computer maintenance halafu hujui vifaa vya kuwa navyo kwa ajili ya ufundi!!!! Itakua unasoma theory peke yake hicho chuo hakikufai.
Vitu vya muhimu ni screw drivers - kwa ajili ya kufunguli
Meter- kwa ajili ya kupimia current flowing
Blower- kwa ajili ya ku remove Diodes na Gun kwa ajili ya kuungia Diode
Hivi ndio vitu vya muhimu
Sent using
Jamii Forums mobile app