De Rama Msirikale
Member
- Nov 30, 2020
- 31
- 15
Hawa jamaa pamoja na gmail ni wajinga na wanaringa sana na huduma zao.Wanakuzungusha mpaka unaamua kukaa kimya.Nilikuwa na account yangu ya Facebook nimeiunganisha na page yangu, kuna kupindi nikapoteza device niliyokuwa natumia hivyo nikasahau password yangu na hata namba niliyofungulia kwa usajiti wa account hiyo imeshapotea.
Nipo hapa jukwaani ili kuomba msada wa kurecover acc yangu kwa wabobezi wa IT na mtandao wanisaidie kwa hili jambo.
πππππHawa jamaa pamoja na gmail ni wajinga na wanaringa sana na huduma zao.Wanakuzungusha mpaka unaamua kukaa kimya.
Hata kama namba unayo haikubali,tena sasaivi wameweka kigezo hadi cha kuweka kitambulisho chako kama cha nida,pasipoti na wanataka majina na kitambulisho chako majina yaendane,bila ivyo ni kazi ngumu kurudisha akaunt yakoKama namba ya simu uliyofungulia haipo hewani sahau iyo akaunti
Sasaivi hawataki ufanye ivyo,wanataka uwe na kitambulisho cha nida ama pasipoti ili kurudisha akaunt yako,na ukiwatumia majibu unayapata baada ya masaa 24Ngoja wataalaamu waje. Ila nijuavyo ku recover kwa njia za kawaida ingetakiwa uwe na email au simu uliyotumia kufungulia account.
Tusubiri wababe wengine wa sociala media waje tutaachana nao.Sasaivi hawataki ufanye ivyo,wanataka uwe na kitambulisho cha nida ama pasipoti ili kurudisha akaunt yako,na ukiwatumia majibu unayapata baada ya masaa 24
Yaani ni shida sana.Ubaya mwengine kila unachoweka kinagoma na hawaoneshi ukomo wa matakwa yao.Hivyo kama hukukasirika ukaondoka unaweza ukakesha na kushindwa kufanya yako mengine.Hata kama namba unayo haikubali,tena sasaivi wameweka kigezo hadi cha kuweka kitambulisho chako kama cha nida,pasipoti na wanataka majina na kitambulisho chako majina yaendane,bila ivyo ni kazi ngumu kurudisha akaunt yako