A Aman Cosmas Member Joined Mar 17, 2013 Posts 29 Reaction score 6 Apr 19, 2014 #1 kuna iphone 5 hapa ipo locked anaejua kuflash naomba msaada
mzenjiboy JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 907 Reaction score 387 Apr 19, 2014 #2 Kesi aina hii zinaletwa nyingi na hukosa solution kwa sababu iko locked na hakuna awezae kuifungua ila mmiliki halali. 🍊
Kesi aina hii zinaletwa nyingi na hukosa solution kwa sababu iko locked na hakuna awezae kuifungua ila mmiliki halali. 🍊
N ng`wana ong`wa kulwa JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 2,420 Reaction score 1,754 Apr 19, 2014 #3 Mie iphone 4s yangu ina wiki tangu izimike kila nikicharge haingizi moto,haya masimu sijui ni janga jingine...nimeamua kujichukulia ka simu ka 20000 tu shida ya nini......
Mie iphone 4s yangu ina wiki tangu izimike kila nikicharge haingizi moto,haya masimu sijui ni janga jingine...nimeamua kujichukulia ka simu ka 20000 tu shida ya nini......