Msaada: Kuepukana na puchu/punyeto

hv kwann punyeto ina madhara na ukisex kila day amna madhara
 
Duh pull
 
Puchu Mara nyingi huchochewa na vitu kama video za ngono, picha za uchi au hata stori za mapenzi. Ni muhimu sana kuepuka hivyo. Zaidi ya yote ni muhimu ukawa na mpenz anaweza akakusaidia kupunguza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…