labda mtusomee hiyo error! Mana mwanzisha thread anatumia windows 8 afu hawezi kufanya sniping......
Matokeo yake hatuwezi kabisa kuisoma hiyo error!
.
Mana camera tumiwa ni very poor!
.
labda mtusomee hiyo error! Mana mwanzisha thread anatumia windows 8 afu hawezi kufanya sniping......
Matokeo yake hatuwezi kabisa kuisoma hiyo error!
.
Mana camera tumiwa ni very poor!
.
.
Kaka ngoja kwanza tu solve tatizo la kupiga picha kwanza snapshot
.
Jinsi ya kupiga picha kwa kutumia sniping tool
.
Click start button kisha nenda kwenye search
.
.
Andika neno hili = SNIPING
.
itatokea hivi
.
.
Ukiisha click hapo hiyo snipping tool
.
Kita tokea kiboksi kama hiki
.
.
Click NEW
.
Baada ya hapo kitatokea ki msalaba kwenye mouse yako
hapo sasa chora sehemu unayo taka kutuonyesha! Ukiisha maliza we achia... Hapo utakuwa umepiga piga picha yaani snap shot ita tokea sehemu ya ku save
lakini ni vizuri uka save kwenye desktop
.
Ok nmepata solution ni kwamba software imemodifyproxy cha kufanya fungua internet explorer nenda internet options ingia connections ingia lan settings mwisho kabisa weka tiki kwenye automatically detect settings kwisha kazi